WORLD CUP 2010 IN S.A: News and UPDATES | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WORLD CUP 2010 IN S.A: News and UPDATES

Discussion in 'Sports' started by Ibrah, Jan 16, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Michuano ya AFCON 2010 inayoendelea kule Angola imeanza kuwa na msisimko mkubwa hasa baada ya michezo ya pili kuanza. Macho ya Wa-Afrika wengi inaziangalia timu za Ivory Coast, Ghana, Nigeria, Algeria, na Afrika Kusini (Bafanabafana) ambayo haimo kweny fainali hizi na hivyo kutukosesha washabiki wa soka kupima uwezo wao na nafasi yao kwenye kombe la Dunia 2010.

  Tujadili timu za kwetu Afrika ambazo zinaweza kufanya maajabu kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2010. Maoni yangu ni kuwa Ghana na Ivory Coast ndizo timu za Afrika ambazo nategemea zitafanya vizuri kwenye Kombe la Dunia 2010. Hata hivyo pamoja na kufungwa leo na Ivory Coast kwa mabao mengi, binafsi nimeridhishwa sana na uwezo wa Black Star na kwa kweli naiweka kwenye nafasi ya kufika mbali kulinganisha na timu nyingine za Afrika. Nimezipanga timu za Afrika kwa ubora na uwezo wa kufika mbali kwenye FIFA World Cup 2010 kule Bondeni kwa Madiba kama ifuatavyo:-

  1. Ghana (Black Star); timu yenye uchu wa kufika mbali ambayo imesheheni wachezaji wakongwe na vijana ambao wanacheza kwa uzalendo wa hali ya juu kulinganisha na Wawakilishi wengineo wa Afrika.

  2. Ivory Coast (The Elephant); timu nyingine ambayo wakiamua kwa dhati kucheza na kuweka u-super star wao pembeni basi watatuwakilisha vema.

  3. Nigeria (Super Eagles); timu yenye wachezaji wenye viwango vya hali ya juu duniani lakini wenye nyodo na wasio na uzalendo kwa Taifa lao na Afrika. Hawa wakiweka kando ubishoo na kuamua kupiga soka basi ndiyo watabeba matumaini yetu Waafrika kuliko timu nyingine yoyote.

  4. Afrika Kusini (Bafana bafana); hawa kweny michyuano ya FIFA Confederation Cup walikuwa na timu changa ambayo inaweza kufanya maajabu kwenye Kombe la Dunia kuliko Algeria.

  5. Algeria (Desert Warriors?); hawa jamaa nimeshindwa kuwaelewa kabisa na siwategemei sana, afadhali Misri wangepenya badala yao matumaini yangu yangekuwa makubwa lakini kwa jinsi wanavyocheza kwenye AFCON 2010 naona kama vile hamna kitu.
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  THE 19th FIFA World Cup will take place in South Africa between June 11th and July 11th, this year (2010).
  32 teams qualified for the final tournament including host South Africa and defending champion Italy.

  JF fans,
  Lets post here, the general updates (before, During and after the tournament) of THE 19th FIFA World Cup which will take place in South Africa.

  THE STADIUMS SET FOR THE TOURNAMENT ARE:
  1. SOCCER CITY
  2. MOSES MABHIDA
  3. CAPE TOWN
  4. ELLIS PARK
  5. LOFTUS
  6. NELSON MANDELA
  7. FREE STATE
  8. PETER MOKABA
  9. MBOMBELA
  10. ROYAL
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ellis Park Stadium
   
 4. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Moses Mabhida Stadium
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Timu 32 zilizofuzu.
  1. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Algeria_national_football_team"]Algeria[/ame]
  2. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Argentina_national_football_team"]Argentina[/ame]
  3. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Australia_national_association_football_team"]Australia[/ame]
  4. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Brazil_national_football_team"]Brazil[/ame]
  5. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cameroon_national_football_team"]Cameroon[/ame]
  6. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Chile_national_football_team"]Chile[/ame]
  7. Côte d'Ivoire
  8. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Denmark_national_football_team"]Denmark[/ame]
  9. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/England_national_football_team"]England[/ame]
  10. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/France_national_football_team"]France[/ame]
  11. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Germany_national_football_team"]Germany[/ame]
  12. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ghana_national_football_team"]Ghana[/ame]
  13. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Greece_national_football_team"]Greece[/ame]
  14. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Honduras_national_football_team"]Honduras[/ame]
  15. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Italy_national_football_team"]Italy[/ame]
  16. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Japan_national_football_team"]Japan[/ame]
  17. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Korea_DPR_national_football_team"]Korea DPR[/ame]
  18. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Korea_Republic_national_football_team"]Korea Republic[/ame]
  19. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mexico_national_football_team"]Mexico[/ame]
  20. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Netherlands_national_football_team"]Netherlands[/ame]
  21. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/New_Zealand_national_football_team"]New Zealand[/ame]
  22. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nigeria_national_football_team"]Nigeria[/ame]
  23. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Paraguay_national_football_team"]Paraguay[/ame]
  24. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Portugal_national_football_team"]Portugal[/ame]
  25. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Serbia_national_football_team"]Serbia[/ame]
  26. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Slovakia_national_football_team"]Slovakia[/ame]
  27. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Slovenia_national_football_team"]Slovenia[/ame]
  28. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/South_Africa_national_football_team"]South Africa[/ame] (hosts)
  29. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Spain_national_football_team"]Spain[/ame]
  30. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Switzerland_national_football_team"]Switzerland[/ame]
  31. United States
  32. [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Uruguay_national_football_team"]Uruguay[/ame]
   
 6. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Timu za Afrika unazipatia utabiri gani?
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Progress?
   
 8. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  World Cup hosts, South Africa have line up an international friendly with their Namibia counterparts on March 3 at the Moses Mabhida Stadium in Durban.

  The clash forms part of the Bafana Bafana's preparations for the first ever World Cup to be staged on African soil later in the year.

  It will be third outing for the Mundial hosts after beating Swaziland 6-2 and recording a 3-0 win over the Warriors of Zimbabwe few weeks ago.

  After the match, Brazilian trainer Carlos Parreira and his charges are expected to leave for a pre-World training camp in Brazil and Germany, to fine-tune their preparations for the World Cup.

  The Bafana Bafana are housed in Group A alongside France, Mexico and Uruguay for the June 11 to July 11 Championship.

  Moses Mabhida Stadium
  [​IMG]
  Moses Mabhida Stadium

  [​IMG]
   
 9. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 414
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  safi sana sauzi, hayo ndio mambo yanayotakiwa, watu wanataka vitendo sio maneno tu kama hapa bongo
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,891
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Bongo tuanzishe ligi ya kukaa vijiweni na kubishana umbea, kujigamba, NGONO na DAYDREAMING nadhani tutakuwa mabingwa wa dunia for 30 consecutive years.
   
 11. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  samvande,
  Umenena mkuu.
  TZ tunauwezo wa kufanya makubwa ila tatizo ni hilo hilo la kuzidiwa na kusema tu bila kuwa na vitendo.
   
 12. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 13. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bado siku 100.
  Mambo yanakaribia sana.
   
 14. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Haya angalie picha na maelezo ya viwanja vyote vya kiputa cha World Cup 2010

  http://www.fifa.com/worldcup/destination/stadiums/index.html
   
 15. senator

  senator JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ashakum Si matusi naomba nianze hivyo kwani Huu mpira wa sasa unaoendelea kati ya michezo mingi inayochezwa leo..Kwakweli Waarabu wapo Juu Yaani wanastahilikuitwa kama walivyonesha kwenye CAN wao ni mabingwa wa Africa....Hivi hakuwezi kufanyika fitina yoyote katika timu moja(weak team) iliyofanikiwa kuingia kwenye WC itolewe ili huyu Pharao apewe japo nafasi????
  England wanahaha hapa mana wamezoea kuchongaaa weee
  Dadika ya 40.....ENGLAND 0-1 EGYPT a goal by Zidan a nice Goal pasipo ubishi..England bado beki utata
   
 16. senator

  senator JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  GERMAN 0-1 Argentina (Gonzalo Higuain nets for Argentina) half time....watoto wa malkia wamekwenda mapumziko na Goli moko limening'inia
   
 17. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  France 0-2 Spain
   
 18. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Si mchezo tembo wa Ivory wamelala 2 kwa South Korea
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 35,889
  Likes Received: 6,781
  Trophy Points: 280
  Rooney hayupo nini jamani???
   
 20. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Halafu cha kushangaza England amepanda chati kutoka namba 9 kwenda namba 8 na Argentina kuchukua namba 9. Hawa mafarao wameondolewa namba 10 mpaka namba 17.Je hawa FIFA hutumia vigezo gani, nilidhani uingereza kuwa namba 17 na Mafarao kuwa namba 8.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...