Yanga na simba

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Kuna habari kuwa wachezaji Simba hawalipwi mishahara muda muafaka.
Habari toka Yanga zinasema uongozi wa timu hiyo umesikitishwa na kitendo cha wanachama wake kumpiga na kumng'oa meno, mwanachama mwenzao,Salvatory Emanuel Soka kwa madai kuwa si mwenzao pale alipovaa nguo ya zambarau ilioonekana kama nyekundu weekend iliopita wakati wa mechi ya Yanga na Azam
 
jamani wewe tall nini kutuwekea Topic za mpira kwenye Mapenzi na mapendo ..:):)
hahaha umeanza kufanya niwaze tulivyofungwa kule Congo..badala ya kumshauri huyu ambaye kila akimuona sister wake mambo yanaharibika...!!:D
Mods tuhamishie hii Topic peleka kule kwenye ma- sports
 
POLE na tusameheane.
 
NITAITOA BAADAE KIDOGO!nipo bize kweli kweli nashughulikia ban za watu
 
Jamani nilidhani humu tunasaidiana mapenzi, na mahusiano, kumbe na mpira umo? toba!
 
Mwanachama wa Simba huyu na lengo lake ni kusherehekea ubingwa na wanamapendo wenzake wa msimbazi...........karibu.........binafsi nimeipenda...........ingawa siyo location yake
 
Tall kapagawa; nadhani urefu wake umemletea ubongo kuyeyuka sababu ya jua. Kila mahali naona kaharibu. Watu wanakula yeye anakunya. Kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
Tall kapagawa; nadhani urefu wake umemletea ubongo kuyeyuka sababu ya jua. Kila mahali naona kaharibu. Watu wanakula yeye anakunya. Kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
Bangi?
 
Back
Top Bottom