Bora Maximo kuliko Paulsen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora Maximo kuliko Paulsen

Discussion in 'Sports' started by BIN BOR, Jan 9, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bora huyu mara mia, alitutoa mbali sana.........[​IMG]
  kuliko huyu aliyeonesha kubahatisha 'challenge' [​IMG]
   
 2. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wabo0ngo bana...acha tu!
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,799
  Likes Received: 1,187
  Trophy Points: 280
  Hapa hata ingeletwa ManU ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!Tff ndiyo tatizo.
   
 4. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 3,785
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  sasa nn kifanyike kakakiiza ili tuondokane na tatizo hilo?
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  kuwekeza kwa timu za watoto,lakini pia najiuliza hv vile vipaji vya copa coca cola waliochukua ubingwa kule braazil wako wapi...tff ttz hakuna mtu wa ufundi Kayuni yuko but hajui lolote la kuendeleza soka..nawasilisha..yangu mawazo
   
Loading...