Roy hogdson is fired | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Roy hogdson is fired

Discussion in 'Sports' started by Tores, Jan 8, 2011.

 1. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 425
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Wow..leo siku yangu imeenda vizuri sana na kazi nachapa ile mbaya hapa ofisini baada ya kupata taarifa ya kua Roy hogdson amefukuzwa kazi.

  Kenny Daglish amepewa nafasi ya kuiongoza liverpool mpaka mwisho wa msimu.

  Viva bwawa la maini!!!

  kenny Daglish ni kocha mwenye mafanikio makubwa sana hasa kwa kuiwezesha liverpool kuchukua double in 1980s. na vile vile aliwezesha blackburn kutwaa premier ligi 1995.

  Nenda Roy tunashukuru kwa mema uliyotutendea na mabaya uliyotutendea....!!!

  Kops forever!!! never walk alone! ............Source of information: www.soccernet.com

  roy.jpg
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Matatizo yaliyopo liverpool hayajasabaishwa na Roy.

  Kuna wachezaji hawana moyo tena wakuchezea liverpool mnawalazimish. Mchezaji kama Torres kuna watu watasema hayuko fit 100% lakini ukweli hana moyo wa hata 90% kuchezea liverpool kwa sasa tofauti na kipindi alichokuwepo benitez.
   
 3. i

  ifolako Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kidogo napata usingizi kwani mimi na Liver wao na Stars!
   
 4. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,964
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hata kama matatizo ya Reds hayakuanza na Roy, lkn ni afadhali aende. Siyo kocha anayefaa kufundisha Liverpool. Bye bye Roy.
   
Loading...