Rage na mbinu za APR kwa TP mazembe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rage na mbinu za APR kwa TP mazembe!!

Discussion in 'Sports' started by babacollins, Jan 4, 2011.

 1. b

  babacollins JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  M/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa Africa na washindi wa pili klabu bingwa ya dunia nyuma ya intermilan.Kwa hiyo mazoezi na APR yatawapa mbinu(?)za kukabiliana na Mazembe.Inaingia akilini hiyo?Kama ni kweli kwa kua Rubin Kazan huisumbua Barca ili kuifunga Barca inahitaji kucheza na Rubin au vipi?au ndo tuseme APR wana kamati ya ufundi nzuri dhidi ya Mazembe?Au ndo maji yamechanganyika na mafuta(siasa kwenye football)?
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Sisi kama wanasimba tunakaribishana ushauri wako! Hebu Tupe ka advise, ili kuifunga mazembe tufanyeje?
   
 3. b

  babacollins JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Maandalizi ni muhimu hata kama kucheza na APR lakini tusifanye maandalizi kwa kuhalalisha vigezo vyenye mashaka hasa kama vigezo hivyo vinatolewa na viongozi vinginevyo maswala ya kujustify mbinu za mazoezi au maandalizi tuwaachie wataalam.
   
 4. m

  mbezibeach Senior Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  APR Ni moja ya timu nzuri katika ukanda wetu huu wa Afrika mashariki na kati......hivyo si wazo baya kucheza nao mechi ya kirafiki katika dhana nzima ya kufukia gaps zilizopo...Ila angalizo lingine ni kwamba ingelikuwa vizuri kama Simba ingepata Mechi mbili tofauti kutoka kwa timu kubwa na zenye mafanikio kwa sasa nchini zambia kwa sababu hata hiyo TP Mazembe ina wazambia Sita katika 1st Eleven yake...Otherwise another Option basi wacheze na Klabu bingwa ya Angola..kwani klabu nyingi za Angola zina cheza soka ya kasi kama TP Mazembe na si soka ya kukuvizia...HUO NI MTAZAMO WANGU NAWAKILISHA KUTOKANA NA UZOEFU WANGU NILIONAO JUU YA SOKA LA AFRIKA.
   
 5. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli huyu jamaa ni MahaRage. Kwani hao TP Mazembe walipata wapi uwezo wa kuchukua Ubingwa wa Africa mara 2 mfululizo?
  Hao Simba walipata wapi uwezo wa kuifunga Zamalek kipindi kile ndio mabingwa wa afrika??
  Simba waache madudu na mauza-uza. Fanyeni maandaliz ya kisanyansi, chezen na hao APR kama sehemu ya maandalizi. Au la, fanyeni hayo maandalizi ya kimaharage muone . . .
   
 6. g

  gutierez JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  hii mifano yenu,eti National Al Ahly ya kina Hossam Hassan iliwafunga Real Madrid ya enzi zile za kina Zidane,Figo,RCarlos,Raul,Hierro,Guti,Casillas,Mijatovic nk basi ingeweza kuzifunga kina Barca,Man Utd,Bayern Munich,Juve,AC Milan,Inter,Liverpool,Lyon,Valencia,Ajax na Arsenal wakati ule
   
Loading...