EXCLUSIVE:Manchester City in pole positionto sign Lille star Hazard

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Wanataka wawamalize kabisa Red devils wakifanikiwa sign ya huyu Dogo.
 
mkuu the kid is dangerous if city win him then itakuwa imeiwin man u the next season,remember man u has prblms in the middle of field

Wanapoteza muda wao bure tu. Wana wachezaji wote bora wa Dunia lakini bado wana struggle kupata ubingwa. Ambao huenda wasiupate
 
Wanapoteza muda wao bure tu. Wana wachezaji wote bora wa Dunia lakini bado wana struggle kupata ubingwa. Ambao huenda wasiupate

yaani wewe ndo matapishi kweli ....mbona barcelona wana wachezaji classic lakini mavi ya kuku tu
 
atacheza wapi sasa pale city we si unaona dzeko afivosuffer mwisho wa msimu
 
atacheza wapi sasa pale city we si unaona dzeko afivosuffer mwisho wa msimu

inategemea na Euro 2012 coz u never know watu watapata injury ambazo zitawalimit kuanza mzimu vizuri wa 2012-2013 xo Dogo anahitajika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom