NEW CASTLE wamekula kichwa chelse bado MAN cty

hahahahaahah man uuu hoyeeee subiri J2 man cty wapigwe ka chelse
 
wamenipa raha sana leo,nawaombea waninyolee na Man Shitiiiii jumapili...
 
Man City wako juu sidhani kama New Castle watapata kitu, Man City hawawezi kurudia makosa nafasi ya ubingwa ni yao kwa sasa. Wakati mwingine ni rahisi kuishinda timu ngumu kuliko timu rahisi, kama Chelse walivyowafanya Bacelona. Kuanza kuwaombea mabaya wengine ili ushinde hizo ni duwa za kuku kwa mwewe.
 
Baeleze baelewe,mimi kuongezea nawaambia wajiandae kulia tu pamoja na mashabiki wa Newcastle Jumapili..hawataamini kitakachotokea TEVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom