Francis Cheka knock out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Francis Cheka knock out

Discussion in 'Sports' started by Fraddle b, Apr 29, 2012.

 1. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cheka amedhiirisha ubabe wake tena kwa Mada maugo baada ya kumpiga kwa knock out.Nakuchukua zawadi ya gari
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi namshangaa huyo Maugo hana lolote ni kuongea tu tena visivyo na maana halafu akiingia ulingoni anatandikwa, watu wengine bana
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,041
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ameona nguvu ya bange
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Asaaandee. Mchangiaji wetu wa mwisho ni tondu liso
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Cheka naye bana juzi anahojiwa anasema huu mchezo wa boxer ni mzuri.hivi ni boxer au boxing!!hahaaa muwe mnaongea kiswahili bana
   
 6. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Utajuaje kama tumesoma? Ha ha ha! Watu wengine hawajui kwamba ukikwepa kuonekana hujui, basi kitu mbadala utakachosema au kufanya kitakuumbua zaidi kuwa hujui. Pamoja na hayo, hongera Cheka.
   
 7. F

  Fahari omarsaid Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yale majigambo yamekwenda wapi eti atahakikisha cheka analia hahah
   
 8. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana lolote huyu kila siku anapigwa anasema upendeleo,cjui yukoje huyu maugo
   
 9. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  even if,lakini jamaa hana mpinzani na huyo maugo asitafute publicity
   
 10. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri alitaka apate mashabiki wengi,ili apate pesa
   
 11. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye mahojiano anaongea utafikiri bonge la boxer,kumbe hovyo
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  maugo Mjaluo sasa boxing kajulia wapi? yeye mzee wa uji bana
   
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,763
  Likes Received: 8,033
  Trophy Points: 280
  Wewe unaonekana ni shabiki wa Madam Maugo, cheka hana haja ya kujua kiingereza wala kiswahili. Hata akiongea Kiluguru tu, bado ataendelea kumdunda Madam Maugo
   
 14. A

  And1 New Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mada maugo huyoo chali wanasema wanamuandaa Mashali angalieni mambo yaliyomkuta kaseba yatarudia tena
   
 15. A

  And1 New Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wekundu wa msimbazi wanabahati?
   
 16. G

  Gagso Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c o bahat.sema wanajua mpra,simba sio kama hao yanga?
   
 17. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Aliniacha hoi sana wakati anahojiwa na Sports Bar ya Clouds Tv kuwa eti Waamuzi waliokuwa wanachezesha mapambano yake dhidi ya Cheka walikuwa wanaingia kuchezesha huku wamevuta bangi,kumbe yeye ndo kaingia kupigana juzi huku amelipuliza,kwanini asichezee kipondo...
   
 18. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  mashali mbishi flani ila wakumbuke cheka gari kubwa!
   
 19. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  maugo anasema kulikuwa na miziziology katika pambano kwani kuanzia raundi ya nne alikuwa hamuoni cheka anapigana na upepo!
   
 20. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  maugo ni customer wangu!!!maneno ya cheka hayo juzi kuonyesha msisitizo kama mada maugo ni mteja wake!lol
   
Loading...