kubali uckubali barca noma habari ndio hiyo!!!madrid 1 barca 2!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
jamani tambo zote za mourno zinazidi kugonga mwamba!leo baada ya dk 13 christiano ronaldo kufunga bao la kuongoza,nikajua tu ndio staili yao ya siku zote kutangulia na baiskeli ya miti,wazee wa kazi(barca)wakatulia 2 kama kawaida yao,kabla ya mkongwe puyol hajasawazisha bao,madrid wakajua ndio yake yale,mwishoni beki mjanja mjanja anayepanda abidal anatia kitu cha pili!mi nadhani kuna haja ya jose mourno kukili waziwazi kuwa barca hawashindi kwa kubebwa/kubahatisha,kwani ndio misemo yake ya kila cku,anapokutana na dhahama hiyo.kwani m2u akikuzidi uwezo ni vibaya kumpa heshima yake?na ndio kinacho mponza,sir mwenyewe pale amekubali kwa hiari yake."IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM"najua leo wadau wengi hamjaona hili game kwa kutegemea dstv!na kumzalau kanumba na vicheko vyake(startimes)leo ametuokoa sisi wenye machale! Ila next week vitafuteni najua wengi mlishavitupa hata hamjui viko wapi! Hata Ting nao wanayo sentanta africa.
 
jamani tambo zote za mourno zinazidi kugonga mwamba!leo baada ya dk 13 christiano ronaldo kufunga bao la kuongoza,nikajua tu ndio staili yao ya siku zote kutangulia na baiskeli ya miti,wazee wa kazi(barca)wakatulia 2 kama kawaida yao,kabla ya mkongwe puyol hajasawazisha bao,madrid wakajua ndio yake yale,mwishoni beki mjanja mjanja anayepanda abidal anatia kitu cha pili!mi nadhani kuna haja ya jose mourno kukili waziwazi kuwa barca hawashindi kwa kubebwa/kubahatisha,kwani ndio misemo yake ya kila cku,anapokutana na dhahama hiyo.kwani m2u akikuzidi uwezo ni vibaya kumpa heshima yake?na ndio kinacho mponza,sir mwenyewe pale amekubali kwa hiari yake."IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM"
 
Back
Top Bottom