man united wenzangu tutatoka kesho?

salito

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,408
716
jaman me hapa hata cjielew,naona kama kesho ndio mwisho wetu na hao liva walivyo na usongo na ushindi tutakoma ukizingatia wanatufungaga na kikosi chetu hakipo sawa basi dah...nipeni mahope jaman..
 
Raha jipe mwenyewe,
Basi na hayo ma-hope pia Jipe mwenyewe vilevile
 
jaman me hapa hata cjielew,naona kama kesho ndio mwisho wetu na hao liva walivyo na usongo na ushindi tutakoma ukizingatia wanatufungaga na kikosi chetu hakipo sawa basi dah...nipeni mahope jaman..

Kwani kesho mkuu ni Man United vs Liverpool?

Acha kuogopa mkuu kesho ni :

Wednesday, January 11, 2012
TimeHome AwayStageTVVenue
2:45 ETManchester City v LiverpoolSemi-finalsEtihad
 
Unadunda,sasa wasiwasi wa nini?Etihad mbona mlitumia mbereko ya chuma,nadhani pia kwa liver mtatumia mbinu.
 
Back
Top Bottom