jose mourino asema zamu hii hakubali tena kuwa mteja wa barca!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jose mourino asema zamu hii hakubali tena kuwa mteja wa barca!!!

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Jan 14, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kocha wa real madrid amehapa kuwa zamu hii ni zamu yake kutoa kipigo kitakatifu kitakacho iduwaza dunia kwa barca!ktk mechi ya kwanza ya kombe la mfalme itakayo chezwa j.tano ijayo ktk wa uwanja wa santiago bernabeu,na kurudiwa tena baada ya wiki moja ktk uwanja wa barca.Anasema ameshajua huwa anajikwaa wapi!na wachezaji wake waache papala,kwani amekuwa akifadhaika sana kila wakati kupata kipigo.Ngoja tuone ila sidhani kama jeuri hiyo anayo,jamani barca mziki mzito!!
   
 2. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  namuonea huruma sana maana mpaka sasa anahangaika kutafuta dawa ya kumzuia Messi kwanza na bado hajaipata
   
 3. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uwezo wanao, lakini tatizo lao huwa wanapanic halafu papala nyingi!
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwani siku zote huwa anakubali au anakubalishwa?
   
 5. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado anafungwa tena barca wako wel organize kuliko wao
   
 6. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mi naombea Madrid apigwe game zote zilizobaki kucheza na Barca mpaka 'Special One' akili mbele ya vyombo vya habari kuwa Barca kwa sasa ni moto wa kuotea mbali,lkn vilevile ninawaombea Madrid achukue kombe la ligi msimu huu.
   
Loading...