Embu cheki huu ***** wa TFF

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Siku 2 zilizopita tff kupitia mzee tenga wamemzawadi sh.laki tano mwamuzi muisrael mkongo eti kwa kumudu mchezo kati ya yanga na azam.sitaki kuzungumzia kama kweli alimudu ule mchezo au lah.pia sitaki kuzungumzia tendo hilo linawahamasisha nini marefa wenqine au kama mkongo ndo wakwanza kuchezesha vzuri.swali langu ni kwamba kwanini tenga ampe zawadi wakati bado rufaa ya yanga haijatolewa maamuzi? Hilo tendo linatoa sms gani kwa wale wanaoshughulikia hiyo rufaa ambapo yeye ni bosi wao? Labda Ingekuwa na maana kama wangesema hizo pesa ni za pole kutokana na kipigo,
 
Waliwahi kumpa refa mmoja anaitwa Othuman Kazi zawadi ya kuwa refa bora, lakini baadae akashindwa copa test ya FIFA na wao baadae wakamfungia maisha! Si uchizi huo. Wakati bado tunapigana kupeleka rufani na utetezi kibao ambao umewakwama kooni wao wanampa zawadi refa si ni kuvuruga ushahidi huku. Tupatie source ya uhakika ili tulifanyie kazi
 
Siku 2 zilizopita tff kupitia mzee tenga wamemzawadi sh.laki tano mwamuzi muisrael mkongo eti kwa kumudu mchezo kati ya yanga na azam.sitaki kuzungumzia kama kweli alimudu ule mchezo au lah.pia sitaki kuzungumzia tendo hilo linawahamasisha nini marefa wenqine au kama mkongo ndo wakwanza kuchezesha vzuri.swali langu ni kwamba kwanini tenga ampe zawadi wakati bado rufaa ya yanga haijatolewa maamuzi? Hilo tendo linatoa sms gani kwa wale wanaoshughulikia hiyo rufaa ambapo yeye ni bosi wao? Labda Ingekuwa na maana kama wangesema hizo pesa ni za pole kutokana na kipigo,
Walicho kifanya yanga ni uhuni na haukubaliki mchezoni...wapeleke ujinga wao kwa kina rashid Matumla siyo kwenye soka....
 
Maamuzi ya kipumbavu ndiyo yaliyo amsha hasira za wachezaji wa Yanga nikajua TFF ujumbe wamepata kumbe ndo wanapalilia rushwa, kutotenda haki, maamuzi mabovu, upendeleo n.k
 
only happens in Tanzania kuanzia viongozi wa wananchi, wabunge, madiwani, mamiss, bahati nasibu, tuzo za wanamuziki, zote zinapangwa na sasa ktk soka ni zamu ya azam mnashangaa nini? Au sababu simba na yange wametoswa ndo mnatoa povu hii ndo bongo mkono mtupu haulambwi alaa
 
Walicho kifanya yanga ni uhuni na haukubaliki mchezoni...wapeleke ujinga wao kwa kina rashid Matumla siyo kwenye soka....

Toa point sio unalalamika. Pale kulikua na vurugu lakini haimaanishi wachezaji wote wa Yanga walifanya fujo manake refa asingepona. Wapo waliokuwa wanatetea kama Nsajigwa, Tegete, Kiiza kati ya wengi. Hoja ya upande wa utetezi ni kuwa kwanini TFF imewafungia wachezaji ambao hawakufanya fujo? Kama Tegete na Omega!

Kingine kwa mujibu wa kanuni, kukitokea fujo wakati wa mechi mwamuzi anapaswa kuvunja pambano!

Sasa badala ya kujibu hoja mnaleta absolute nonsense. Refa kamudu pambano my ***
 
Refa aliyechezesha simba na JKT oljoro aliposhindwa kumuonyesha kadi nyekundu mafisango kwa kosa la kumsukuma , alifungiwa na kuondolewa kwenye orodha ya waamuzi. Iweje huyu aliyeshindwa kumuonyesha Mwasika kadi nyekundu baada ya kumpiga ngumu kali ka ya matumula aonekane amemudu pambano kiasi cha kupewa zawadi? TENGA should step down for this!!
 
tff ni yanga hilo halina ubishi subirini ligi iishe ndio mlalamike hapa nao utaumia bure tu hakuna la ziada hapo...
 
Siungi mkono kitendo cha kupiga waamuzi lakini Tenga anachangia kwa kiasi kikubwa kudidimiza soka la Tanzania,sasa tumerudi zama kama za kina Ndolanga
 
Maskini Tengaaa! Nilitegemea awe kama Michel Platini, Franz Buckenbaur, Kal Heinz au Kalusha Bwalya lakini dah! ni kama Wambura, Ndolanga na wengine wasiojua Soka.
 
Back
Top Bottom