JEZI! JEZI! JEZI! Zinahitajika haraka!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Jamani zinahitajika jezi za wapinzani wa simba kwenye kombe la CUF, Es Setif tukawashangilie kwa nguvu zote siku hiyo,nasikia zimeanza kuuzwa mtaani.tafadhali wana jf nipeni maelekezo pa kuzipata.BUT kama ni za rangi nyekundu ,basi tusiwasiliane.!
 
CUF ipi mkuu ile Hamad Rashid au ya Maalim?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom