Mahmoud Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 264
Jamani wapenzi na wadau wa Simba SC tupeane habari za mechi ya kesho, naona kimya mno hapa jukwaani.
karibuni
karibuni
Subiri kesho mechi ianze ndo tupeane habari, kama unazitaka za leo, Mwinyi Kazimoto na Chollo ni majeruhi.
Bila shaka es Setif watatatufurahisha watanzania kwa kumkanyaga mnyama!