Najitokeza hadharani kuwatetea omega seme na jerison tegete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najitokeza hadharani kuwatetea omega seme na jerison tegete!

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Mar 20, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  hivi soka letu linaelekea wapi? Mnaona jinsi tfff wanavokurupuka kwa kufanya maamuzi ya kufurahisha hadhira! Huyu j.tegete amefungiwa miezi 6. Ni kweli alistahili adhab kwa kuingia uwanjani,ingawa aliingia kuwatuliza wenzie wasifanye vurugu.but adhabu yake ilitakiwa iwe red card.kama refa hakumpa hiyo red tff walitakiwa wampe adhabu inayofanana na hiyo red ambapo teqete angekosa mechi1.
  kuhusu omega seme.ushahidi wa kamera unaonesha akifanya kazi ya kuwavuta wengine wasimpige refa kama nsajigwa.tff wanatakiwa wamfutie adhabu na wamuombe radhi omega seme na waache kufanya maamuzi ya kufuraisha watu..shame on you tff!
   
 2. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  let it go...., mdogo wangu,, u hav made your point,, and am sure everyone knows got your point..., kama makosa yalifanyika ndo hivo tena maamuzi yalishafanyika...,

  Nlichogundua kwako ni kwamba umevuka hatua ya kuwa fun/supporter..., upo kwny obsession!

  There is more to life than football.., dont be obsessed,, utajikuta unashindwa kufanya mambo yako ya maana kabisa ya maisha kisa soccer.., i advice you to move on..., maana haipiti siku mbili au tatu bila kuona thread yako talkn over and over abt same thing...,
   
Loading...