Pongezi yono kevela.

Pongezi yono kevela.

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Binafsi nampongeza ndugu yono kevela mbunge wa zamani wa njombe magharibi kwa kufadhili ziara ya wachezaji wa zamani wa yanga ambao walikukuja katika wilaya ya wanging'ombe na kucheza mechi kadhaa katika vijiji vya ilembula,kanamalenga,igwachanya na igalala.kweli nilishuhudia watu walivyojitokeza kwa wingi kuwashuhudia maveterani hao ambao walikuja hapa ili kuwahamasisha vijana kushiriki michezo.
 
Back
Top Bottom