England vs Brazil

England vs Brazil

Nasikia wanasema mtakatifu GAUCHO ameitwa leo. Ngoja tuone.
 
Gaucho kama Erasto Nyoni!!!anakosa penalty!
 
Gaucho kakosa penati bana.
 
Mkuu mpira umeanza? Sie wenye king'amuzi station gani wanaonyesha?
mkuu usha anza ni dakika ya 37 ninauangalizia online,sijui ni king'amzi gani kinaonyesha!
 
mkuu EMT ulikuwa una maanisha nini na haya maneno!!!!kwa vile source ni wewe mwenyewe hope utanifafanulia!!!!!kuhashua, kuhashukwa,Hahashukwi,hahashui!!
 
Last edited by a moderator:
Wamezawazisha. Fred the scorer. Jamaa kumbe bado anacheza
 
huyu Gaucho huyu na uchezaji wake!!!nadhani hilo gori yeye ndo kasababisha!!ENG 2 BRA 1
 
Brazil sio tena wale wa zamani
 
Back
Top Bottom