Kwa hili tff ni aibu kubwa!

Kwa hili tff ni aibu kubwa!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Tukiwa kwenye bonanza la CECAFA mwaka jana watawala wa TFF walianza kutuambia kuwa timu ya taifa ya Zambia IMEOMBA kucheza na timu yetu ya taifa hapa nchini, wakaendelea tena kuwa timu ya taifa ya Ephiopia IMEOMBA kucheza na timu yetu ya taifa huko kwao na kwamba palikuwa na MAOMBI toka nchi nyingi tu ila TFF wakaona wapendelee ombi la Ethiopia. Hivi karibuni watawala wa TFF wamekuja tena na ETI timu ya taifa ya Cameroon IMEOMBA kuja nchini kucheza na timu yetu na kwamba palikuwa na MAOMBI mengine toka nchi mbalimbali lakini watawala wa TFF wakawadengulia(!). Mimi sasa naamini kuwa hii ni SIASA ili kuonesha kuwa watawala wetu wanamipango mizuri kwenye timu yetu ya taifa kiasi cha kufianya IPENDWE mno barani Africa (kwa kigezo gani?)
Hivi wakituambia kuwa wao walituma MAOMBI nchi mbalimbali na kuwa ni nchi fulani ndio imewakubalia hatutawaheshimu? Kitendo cha wao kukaa ofisini tu na kusubiri MAOMBI ni kitendo cha KUTOWAJIBIKA na ni AIBU kuombwaombwa (kama kweli) wakati kiwango cha timu hakiridhishi. ACHENI SIASA.
 
...eti cameroon wameomba kucheza na sisi kufuati uwezo wetu kuwa mzuri hasa kwa kuifunga zambia!!
Mbona tulikutana na Ethiopia baadae? Hii hawasemi pana mwanajamii mmoja katoa maana halisi ya TFF (Tanzania Fitina Federation). Hao Zambia wamefikia wapi kwenye AFCON!
 
Wameniboa kweli, yaani mechi za kirafiki kama hii wameshndwa kutuonyesha watanzania masikini kwenye tv?? Huu ni umaskini wa akili kabsa.
 
483463_611017522258162_167473181_n.jpg
Aibu nyingine hiyo hapo....
 
Back
Top Bottom