Unconfirmed report
BREAKING NEWS:
TIMU YA SOKA YA MAAFANDE YA TANZANIA PRISON IMEPATA AJALI USIKU HUU WA LEO KATIKA KIJIJI CHA AHALE ILIPOKUWA IKIELEKEA TANGA KWA AJILI YA MECHI NA Mgambo JKT...
Manji anatarajia kuweka heshima Jangwani kwa kuwajengea uwanja wenye thamani ya sh. 78 Bilioni. Utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000. Atajenga uwanja huo kama mchango wake kwa Yanga...
Ni kauli iliyotolewa na TFF leo na kuwataka simba wawe wapole maana hakuna kanuni ya TFF inayoilazimisha Yanga kuwalipa simba maana simba walipeana pesa na Twite kihuni.
Na simba wamejibu mapigo...
By Mphamvu Daniel, 15th October 2012!
This weekend I came to my regular place where I usually watch European football encounters. Venue was full as if it was Barcelona against Madrid or...
Jamani mi sijawahi ku attend games au kufuatilia sana games za teams za africa..je kuna racism in africa? ninavyosema racism simaanishi ubaguzi wa rangi tu bali hata ubaguzi wa dini, kabila...
Baada ya kutoa droo mechi 3 mfululizo,team ya Simba sasa imekuja na kali nyingine baada ya kuitaka TFF kuwapangia kwenye mechi zao marefa wenye beji za FIFA kwa madai kuwa wale wasio na beji...
Bao la dakika ya 70 la Mansour lilitosha kuwasukuma nje TP Mazembe kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na kuwafanya Esperance watinge Fainali ya pili mfululizo.Sasa Esperance watakuwa...
Leo ni nafasi ya Simba ama kuendelea kujikita kwenye kilele cha ligi au kuiweka rehani nafasi hiyo kwa Yanga wanaoonekana kuinyatia kwa kasi.
Tunaomba live updates kwa wale mnaongalia au...
Visit -> eplON with your smartphone. And get lattest EPL actions at your finger tips!. For those who uses Android Smartphones(320x480 res) can download a compelete native APP at...
Mechi itaanza muda si mrefu na vijana wa Toto African wanakila sababu ya kufanya vizuri kwenye uwanja wao wa nyumbani na ikiwezekana kuchukua point 3 muhimu kwa ndugu zao Yanga.
Kila la kheri...
Katika kipindi cha Epic Bongo Star Search, kijana mmoja aliyefanya vibaya sana akamfananisha na Yanga. Ati Yanga ni kawaida yao kufanya vibaya. Hiii, hiii mie nalia, kweli anatudharau hivi jamani...
Kulingana na maneno yake huyu jamaa alikuwa anatengeneza safu ya kurudi tena kuwa Rais wa TFF baada ya Tenga heshima na wazifa aliopewa ni hatari kwa soka ya TZ nimemsikia mara nyingi sana...
Mkataba wa uzamini wa ligi kuu kati ya tff na vodacom unakataza timu nyingine kuzaminiwa na kampuni nyingine ya simu ..na kwa upande mwingine fedha zenyewe za udhamini kwa timu ni kama hakuna...
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog)
Kaimu Katibu Mkuu wa...
Leo mechi ni nzuri tutakuwa uwanjani masaa machache toka sasa tukishuhudia pambano jepesi kwa Yanga,ikishinda leo basi ubingwa jangwani mana lazima mnyama Simba apakatwe pale ccm-kirumba na...
Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu...