LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Mtanange huu utapigwa muda mfupi ujao kwa ratiba ya hapa kwetu ni saa 22:45 na tunategemea mechi itakuwa swaaafi kabisa!
Kama nitatoweka hewani bila sha itakuwa siyo kusudi langu bali ni chaji itakuwa imekata ila karibu wadau wenzangu wa soccer tufuatilie mtanange huu mzuri! Nategemea ushindani mzuri kwa jinsi Ac Milan walivyo katika fomu nyakati hii na juzi tumewashudia wakiigaragaza Barca! Kila la Kheri Ac Milan! Baroteli ataweza akang'ara na hata leo!