TFF na Kanuni elekezi za uchaguzi

TFF na Kanuni elekezi za uchaguzi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,850
Reaction score
17,270
TFF iipata sifa chini ya Tenga kiutendaji lakini imechafuka dakika za mwisho kwa kutengeneza kanuni zinazolenga kuwaengua watu fulani na kuwabeba watu fulani kwenye uchaguzi wa viongozi wake.

Hivi kigezo cha uzoefu wa miaka 5 chanzo chake ni nini na ni nani? vitu gani vilizingatiwa katika kusema iwe miaka 5 na sio 2, 3, 6 ama 10? bila shaka watunga kanuni hizi walikuwa na vikokotoo (calculator) vyao mikononi wakati wa kupendekeza miaka 5. Bila shaka walikuwa wanawahesabia uzoefu wao watu waliotaka kugombea TFF, wakagundua wakiweka miaka 5 uzoefu watawaengua watu fulani wasigombee. Uzoefu wa miaka 5 una maana gani kwa TFF? sio mzengwe? ona sasa!!!!!
 
Back
Top Bottom