Chanazi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2010
- 212
- 72
Ismael Aden Rage, Mbunge wa Tabora Mjini, Mtu mwenye maneno mengi, mkorofi, mtu asiye na subra, Mtanzania mwenye asili ya Somalia..
Anatakiwa kufanya jambo la busara kuinusuru, Simba Sports Club na Profile yake ya Kisiasa, busara hiyo ni kujiudhuru na kuwekeza akili yake kwenye Siasa za jimboni kwake na chama chake Mkoani Tabora...
Kwenye timu ya Simba Sports club ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo..
Mpira wa Africa hakuna asie jua una Fitna na majungu mengi.. Sasa kama unaamua kugombea maana yake una jiamini kua utaweza kupambana na hujuma, fitna na majungu! Rage ameshindwa kupambana anatakiwa kuwahjibika kisiasa..
#RageOut
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums