Benchi la Ufundi Simba SC

Benchi la Ufundi Simba SC

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Kwa kweli mnasababisha tuonekane Watu tusiokuwa na amani kila tuendako... tUNAONYESHWA "LIBOLO" Matatizo mnayatafuta wenyewe viongozi..... kisa na mkasa cha kumuondoa Milovan ni nini? Mnaruka mkojo mnakanyaga mavi.... na kwa kuchanganyikiwa kwenu nawapa ushauri huu.. Mrudisheni MILOVAN.... na pangueni jopo la makocha ... kuna mtu ambaye ni NUKSI na hana Jipya JULIO... Aondoke mara moja ...
 
attachment.php


Mi nilijua hiki ki'babu ambacho kilikuja hapa hata Sarawili hazimkai kiunoni hawezi kuwa na jipya,ni afadhali hata yule mvuta mifegi wao "Milovan" hlf huyo wa kushoto kama anavyoonekana hapa kwenye picha yeye furaha yake ni kuwa msaidizi wa Mzungu tu lkn hana lolote analolijua na ndo maana akiulizwa aelezee sababu za kitaalamu za team yake kufungwa yeye hufanya mambo ya ajabu kama kulia au kusifia uwezo wa kifedha wa wapinzani wa team yake.
 

Attachments

  • Kocha kachoka!.jpg
    Kocha kachoka!.jpg
    49.9 KB · Views: 107
kwa kweli mnasababisha tuonekane watu tusiokuwa na amani kila tuendako... Tunaonyeshwa "libolo" matatizo mnayatafuta wenyewe viongozi..... Kisa na mkasa cha kumuondoa milovan ni nini? Mnaruka mkojo mnakanyaga mavi.... Na kwa kuchanganyikiwa kwenu nawapa ushauri huu.. Mrudisheni milovan.... Na pangueni jopo la makocha ... Kuna mtu ambaye ni nuksi na hana jipya julio... Aondoke mara moja ...

ni kweli lakini hayakuhusu....hebu hesabu vidole vya mkono wako..
 
Back
Top Bottom