Simba sports club

Simba sports club

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Tatizo la simba sports club kufungwa na na kutoa droo kila mechi nini jamani? Enyi viongozi wa simba embu ongeeni wa wachezaji wenu, lazima kuna tatizo litakuwa linaendelea si bure kila match ni droo au kufungwa tuu, sisi mashabiki wenu mnatukatisha tamaa
 
Labda wachezaji wana wasiwasi kuhusu matumizi ya bastola ya alhaj rage a.k.a alshabab.
 
wachezaji wa simba hawatambui jukumu lao. Subiri njaa inawakaribia tu muda si mrefu.
 
Julio keshaanza kuutaka ukocha mkuu hapo ndo maana kuna mgongani kwa baadhi ya watu
 
Back
Top Bottom