Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

kana kwamba utumbo waliofanya juzi dhidi ya Chelsea hautoshi, tayari refa wa mechi ya leo tena anaendeleza kichefuchefu, tena palepale darajani. Sijui mzee Faga mchawi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nahodha wa Argentina Lionel Messi amedhihirisha kuwa yeye ni wa kiwango kingine pale alipoiongoza timu yake kupata ushindi dhidi ya Uruguay ya akina Luis Suarez,Diego Forlan na Edinson Cavani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza raia wa Afghanistan watashuhudia pambano la ndondi baada ya kipindi kirefu baina ya Said Mbelwa wa Tanzania na Hamid Rahimi wa Afghanistan. Mpambano huo ulopachikwa jina la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
UMENUUUUUUUUUUUUUUUUUUNA MWENYEWE HAAAHAAAAA Good luck ref, says Fergie ALEX FERGUSON has wished referee Lee Mason (picture) “good luck” in tomorrow’s League Cup tie between Manchester United and...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampala It was a trip he had hoped would enable him to get his footballing career back on track. Little did he know that it would instead turn into an...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Mpaka Half Time Arsenal ilikua nyuma kwa mabao 4-1, ila badae kipindi cha pili dakika ya 90+4 ubao ukawa Reading 4-4 Arsenal...Dakika 30 zikaongezwa na mpira kuisha kwa ushindi mnono..READING 5-7...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MAN U, CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, AU LIVERPOOOL?? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kumbe hawa wazee wa yanga ni wahuni sana!juzi mtangazaji za chanel 5,patric aliwatembelea makwao akashangaa kukuta makochi na mazulia wanayo2mia makwao yana rangi nyekundu!akawauliza kulikoni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
samahani wakuu,nime post sehemu ambayo siyo kutokana section ya sport papo tupu naomba msaada wa haraka wa logo ya mgambo jkt footbal club asante na samahani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kizungumkuti cha azam kwenye soka la tanzania bado kinaitesa azam. Bada ya kumfukuza kocha wake wa sasa na kuludia matapishi na kumleta tena stewart. Source michezo radio1
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF, habari mpaka tulizo zipata kutoka tanga ambako mashindano ya Taifa Cup Basketball yaliyoanza leo jioni huko Tanga yame reta taflani kubwa tuuu, na mmoja katika yote ni kutokuwa na malazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, habari mpaka tulizo zipata kutoka tanga ambako mashindano ya Taifa Cup Basketball yaliyoanza leo jioni huko Tanga yame reta taflani kubwa tuuu, na mmoja katika yote ni kutokuwa na malazi...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Kweli hii uchanganye na uchafu mwekundu hivi itakuwaje? vodacom ni free masson na marangi yao
0 Reactions
9 Replies
2K Views
In my last blog “enough is enough” I suggested that there should be an independent refereeing organisation set up to control all matters refereeing. This organisation should also manage, train...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Hawa ndiyo wamekuwa shortlisted kuwa FIFA World Player of the Year 2012. Bila ushabiki, yupi unaona anastahili? Sergio Agüero (Argentina), Xabi Alonso (Spain), Mario Balotelli (Italy), Karim...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shaffih Dauda in Sports.: MJADALA: ANGALIA USHAHIDI WA PICHA THEN UTOE MAONI YAKO LIPI NI GOLI HALALI KATI YA LA CHICHARITO VS CHELSEA AU SUAREZ VS EVERTON
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I have observed for days now that ITV does not provide some sport news on Simba Sc immediately. Today 27/10/2012 Simba played Azam at the National Stadium yet it has been easier for ITV to get...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…