kero ya soccer jijini mwanza..

kero ya soccer jijini mwanza..

Simon sinkala

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Ni aibu kubwa sana kwa jiji la mwanza tukikosa hata timu moja ya kushiriki ligi kuu, hii inatokana na nfumo mbovu wa uongozi amboa unahitikadi za u-ilemela na u-nyamagana, pia mfumo mbovu wa uongozi ktk timu ya toto ambao una jari sana u-simba na u-yanga, tunamshukuru mkuu wa mkoa na kamati yake ya saidia toto isishuke daraja, japo mmechelewa adi hali imekua tiamaji tiamaji, kunakipindi miaka ya nyuma ilitoke hali kama hiyo Mh. Kandoro alianzisha huo mfuko wa saidia toto, ulikua na mafanikio japo kuna mazee mawili tena bila aibu nimaviongozi ya juu MZFA yakala hela, hivyo tukiondoa itikadi za usimba na uyanga, wadau ni wengi sana wa kuisaidia timu yetu ikawa inafanya vizuri kama nyingine.
 
Hivi toto africa ipo daraja la ngapi mkuu
 
inatakiwa ishuke daraja ili kina mbeya city waingie na wao..
 
yupo ligi kuu ila anacheza na dada yake yanga ambapo akisema amfunge tu kashuka daraja rip toto yanga..

Umesikia wenzio wamefikia kwenye magheto ya Libolo? Jamaa wanajihomolea tu
 
Back
Top Bottom