Nna gundu nn?

Nna gundu nn?

Kwanzia mwaka uanze,mambo ya soka yananiendea vibaya sana
weka wazi hiyo mada mbona unatafuna maneno unasema kwanzia mwaka uanze mambo ya soka yanakuendea vibaya sana jee wee mchezaji au mshabiki hebu weka sawa hiyo mada yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom