Mambo yamebadilika england

Mambo yamebadilika england

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
188
Sasa sio BIG FOUR tena ni BIG SIX

1.Manchester United
2.Manchester City
3.Chelsea
4.Arsenal
5.Tottenham
6.Liverpool(hapa sina uhakika kama liv ana safa za kuitwa "big"

SPAIN
1.Real madrid
2.Barcelona
3.Atletico Madrid


ITALY
1.Inter
2.Ac Milan
3.Juventus
4.Lazio
5.as roma

GERMANY
1.bayern
2.borussia
3.schakle(najikongoja)



hebu tuangalie ubora wa league hapa...ipi bora??ipi inasisimua?? Achilia mbali league ya france ambayo ndio inakua kwa sasa
 
Sasa sio BIG FOUR tena ni BIG SIX

1.Manchester United
2.Manchester City
3.Chelsea
4.Arsenal
5.Tottenham
6.Liverpool(hapa sina uhakika kama liv ana safa za kuitwa "big"

SPAIN
1.Real madrid
2.Barcelona
3.Atletico Madrid


ITALY
1.Inter
2.Ac Milan
3.Juventus
4.Lazio
5.as roma

GERMANY
1.bayern
2.borussia
3.schakle(najikongoja)



hebu tuangalie ubora wa league hapa...ipi bora??ipi inasisimua?? Achilia mbali league ya france ambayo ndio inakua kwa sasa


Hapo kwa Italy iweke na SSC Napoli...
Kisha tazama ligi gani ambayo vilabu vyake vimebeba makombe mengi ya kimataifa kwa miaka 25 iliopita...

Umekurupuka sana halafu hauna hoja.
Unawezaje kuiacha Valencia toka Mestala kisha unaikumbuka Totenham.

Huyu Mama Ndalichako anatakiwa apigwe mawe mpaka afe...
 
Haa haa haaa! Hajakurupuka ila hajui! Matatizo ya kushabikia mpira miaka hii ya karibuni 2000s ndo hy!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
zzzzzzzzzzzzzzz....acheni mama ndalichako apumzike jamani
 
Back
Top Bottom