Live: AZAM vs AL NASRI(SUDAN)

Live: AZAM vs AL NASRI(SUDAN)

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
dk 45 kipindi cha kwanza,Azam inaongoza kwa magoli 2 wafungaji ni John Bocco na Mcha Hamis
 
mapunziko sasa Azam 2 - 0 Al Nasri
 
ngoja nimimine juice yangu ninywe.azam rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
dk 50 kipindi cha pili John Bocco anaipatia Azam goli la 3......Azam 3 - 0 Al Nasri
 
kipre tcheche anaipatia Azam goli la 4
 
bao la 5 Azam wanajipatia kupitia mcha Hamis
 
Back
Top Bottom