CANNAVARO, CHOLLO, SELEMBE, AGGREY MORRIS NA MCHA VIALLI WAFUNGIWA KUCHEZA POPOTE DUNIANI
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro ni miongoni mwa wachezaji 16, waliofungiwa kwa muda...
Leo sijapata muda wa kupitia media za michezo lakin katika kupitia gazeti la the sun nimekutana na hii habari (CLICK)@ http://t.co/UVDnHi69 ebu nijuzeni.
Barcelona ikiwa uwanjani muda huu kucheza na Cordoba katika mchuano wa Copa del Rey,tayari Lionel Messi ameshafunga goli lake la 87 mwaka huu. Ni bao la dakika ya 11 ya mchezo.Mchezo huo uko...
Kitendo cha wachezaji wa Zanzibar Heroes iliyoshiriki michuano ya CECAFA huko Uganda na kushika nafasi ya tatu kugawana zawadi kiasi cha dolla 10000,bila kuishirikisha management ni kutokana na...
Baada ya kupokea kichapo,Mama mzazi wa Bondia maarufu Manny Pacquiao amedai kuwa kubadili dini kwa bondia huyo-toka ukatoliki hadi uprotestanti kumemponza.Soma hapa kwa king'eng'e:
Everyone has a...
Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani...
TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI YAREJEA KWA KISHINDO BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MICHUANO YA KIMATAIFA
Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi akiwa Mwenyekiti wa wake za viongozi, Germina Lukuvi mara...
ngoja nicheke kwanza!!..teh teh teh teh...safi sana mlichokifanya zanzibar heroes,mlikua abandoned sasa mmeng'aa na ushindi wa 3 na fedha juu hyo ni haki yenu na mgawane wnyewe kama...
Wanabodi Mambooooooz??
Aliyekuwa Mshambuliaji Mahiri wa Simba Mrisho Ngasa atakuwa akilipwa Mshahara wa Dola 4000 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 6 za kitanzania kila mwezi na Timu ya...
Miaka 3 iliyopita Haruna Moshi Boban alikuwa nchini Sweden akicheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Gefle inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza nchini humo. Muda mfupi baada ya kukaa nchini...
Habari za kuaminika kutoka Sudani na ndani ya Simba zinasema kuwa klabu ya El-Merreikh imeachana na mpango wa kumchukua mshambuliaji wa Tanzania Mrisho Ngasa!
By:
Lutfy Binkleb
BREAKING...
By Kevin J Kelley, New York | Nation | Tuesday, October 9 2012
David 'Tosh' Gitongo the Director of 'Nairobi Half Life' movie with some of the cast members during its premiere...
Haya jamani kumekucha na mtanannge wa ngumi karibu utaanza.
Kwa wale wenye access ya super sport 2 kupitia ving'amuzi vya Dstv unaweza ukajionea mtanange huu wa kukata na
shoka kupitia chanel...
Mpira huu utaanza ifikapo saa tano kamili usiku huu.Tayari timu zinaoneshwa zikijifuafua tayari kwa mpambano wa kukata na shoka.Hadi sasa La Liga Barcelona wapo kileleni wakiwa na pointi 40 baada...
Salama wakuu...... Leo ndio siku ya Manchester derby......Game inakaribia kuanza....
Kila la heri mashabiki wa Man City na Man Utd.....
Karibuni sana kwa live updates.......
UPDATES:
10min...
Wakuu inaonyesha Wabongo wana hasira sasa
hebu soma hii meseji ambayo na mimi nimetumiwa
na mtu ambaye naye katumiwa pia....
Je, wewe ni mpenzi wa soka? wakati umefika
sasa kwa wapenzikususia...
Messi has now scored 86 goals in a calendar year surpassing gerd muller's record of 85 in a calendar year..is he the world's greatest player? is he the best of all time? only time would tell
Ni hivi punde tu imeshinda kwa Torino 4-2. Mabao ya AC Milan yamefungwa na Robinho,Nocerino,Pazzini na El Shaarawy.Hatahivyo,Milan wanabakia nafasi ya saba na pointi zao 24. Mapambano yanaendelea