Siku moja baada ya shirikisho la soka nchini TFF kubadilisha ratiba ya baadhi ya mechi za ligi kuu ya Tanzania bara ili kuweza kufanikisha mpango wa kuonyesha mechi hizo kupitia kituo cha...
Rais wa kwanza wa Zanzibar na mmoja wa waasisi wa Tanzania marehemu Abeid Aman Karume (Mungu amrehemu) alipenda michezo na katika kudhihirisha hilo yasemekana ndio muwezeshaji wa jengo la klabu ya...
EXCLUSIVE: TAKUKURU YASHINDWA KUTHIBITISHA ERASTO, MORAD, DIDA NA AGGREY MORRIS KUPOKEA RUSHWA
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliyokuwa ikifanya uchunguzi wake dhidi ya...
Mwenyekiti wa klabu ya simba Ndg Rage aliahidi wana msimbazi kuwa watajenga uwanja kwa ajili ya klabu ya simba,akasema kwamba Waturuki bdio watakaojenga uwanja na wakati huo walikua wakifanya...
Timu ya taifa ya uGANDA imemfukuza kocha wa JBwilliam kwa kufanya vibaya kwenye mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia nchini Brazili dhidi ya Timu ya Liberia.Licha ya kuwa kocha huyoy...
Watanzania tunajidanganya tunaposema soka linakuwaa hakuna kitu n yaleyale@Hadi VPL itakapo endeshwa n kampuni n c TFF na klabu kumilkiwa n watu bnafsi au kwa hisa n sio wanachamaaa
Kazii n hapo 8 April Monday mida ya jion kabisa pale ambapo miamba hii miwili ya soka Man United na Man City watakapo oneshana kazii huku izikiwa zimebaki mechi nane ili kujua nani n Bigwa.Mafans...
britains Newcastle United football team has created a special prayer room for its Muslim players at their stadium, reported the Daily Mirror on Thursday. Seven members of the first team are...
Timu ya soka ya CRD Libolo ya Angola imeiondoa timu ngumu ya El Mereikh ya Sudan kwenye mashindano ya kombe la klabu bingwa ya Afrika baada ya kuichapa tena mabao 2-1 huko huko Omdurman, Sudan...
hiv nan atashnda kat ya united na city.man u japo wamekula kchapo na kuachia ze bluz kuxonga mbele lakn bado wanashka uskan ktk english premium league. Bac kesho watacheza kwa ustad zaid iliwazd...