Ni baada ya kutandikwa 3 dhidi ya 1 na Uganda leo kwenye mashindano ya kuwania kufuzu CHAN huko Afrika Kusini mwakani, mambo ni yale yale ya tatizo la mabeki, washambuliaji kutokufunga na kuruhusu mabao kirahisi.
Maoni: Timu ivunjwe hata kwa miaka 2 tusishiriki popote and kocha aandae U-17 na pia azunguke Tanzania nzima huko vijijini kutafuta vipaji na tuache mtindo wa kuchagua wachezaji wa Dar tu (Simba/Yanga na Azam) kwangu kweli leo nimeumia mno sikutaraji haya yatokee. Huku kwetu kijijini kabisa kuna mchezaji ambaye angecheza leo kweli hata angefunga magoli ili haonekani kabisa!!!!!!!!!!!!! Eeeeee omiiiiiii hatuna timu, kila kitu siasa tuuuuuuu!!! tutafika kweli???