Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Hakiyamungu haka katimu sikapendii! tena leo ndio kanazidi kuni karahisha yani kamewakamata wendawazimu muda huu kanawakandamiza tu. Yani mpaka muda huu wanaongoza goli nne (4) bila. kwasasa ni mapumziko. ------- Barcelona ------- Mess. Valerenga 0 Barcelona 4 half time