Mkuu hawa Dortimond wanacho nifurahisha wanacheza ile stile ya kijambazi (mpila cheza wewe ila wakikamata wao lazima ukohowe)Wanapiga pass uchwara kibao bila madhara yoyote ila wenzao wakitimba golini wanawaonesha kuwa wako serious
Piga haswaa
Mkuu Bayan wana jambia kwenye majiWanapiga pass uchwara kibao bila madhara yoyote ila wenzao wakitimba golini wanawaonesha kuwa wako serious