Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani...
3 Reactions
11 Replies
258 Views
Nadhani tunamhitaji Dennis Nkane wakuu. Kwakuwa pesa ziko Benki na hakuna mtandao, tunaomba GSM amlipe Nkane bilioni 8 ili aje msimbazi kwa msimu 1.
4 Reactions
11 Replies
206 Views
Tuliambiwa tumesajili Doumbia wa ukweli kutoka ligi kuu ya Mali, tena alikuwa mfungaji bora kwenye ligi hiyo. Hiyo ni taarifa ya kweli. Lakini ligi kuu ya mali si chochote kitu, si miongoni mwa...
1 Reactions
11 Replies
238 Views
Kocha wa Real Madrid, José Mourinho, hatimaye amezungumza baada ya Real Madrid kushindwa kumsajili Rodri, ambaye alijiunga na wapinzani wao Barcelona, siku ya Jana. Mourinho alifichua kwamba Real...
0 Reactions
6 Replies
172 Views
Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa. Kwa hiyo ili...
0 Reactions
12 Replies
244 Views
Aliyekuwa kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, maafisa wa soka nchini humo wametangaza Jumanne. Shirikisho la...
2 Reactions
1 Replies
135 Views
Taarifa za uhakika zinasema anayedaiwa kuwa Mwanachama wa Simba SC ambaye anajulikana kama "Mhindi wa Simba" anashikiriwa na Polisi kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo kuichafua biashara ya Kampuni ya...
3 Reactions
6 Replies
264 Views
Wawakilishi wa nahodha wa England Harry Kane,33, wamefanya mazungumzo na klabu ya Al-Hilal ya Ligi ya Pro ya Saudi Arabia, huku mshambuliaji huyo wa Bayern Munich akiwa tayari kuhama hapo baadaye...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Nimekuta habar ya uyu mzee mwenzetu kua amerudi kwao S.AFRIKA tokea vietnam na sasa hana mishe
6 Reactions
13 Replies
255 Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuufunga kwa muda wa miezi miwili Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa eneo la kuchezea (pichi), kwa kung’oa...
1 Reactions
4 Replies
142 Views
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa...
9 Reactions
45 Replies
776 Views
1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United 2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal) 3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. (...
10 Reactions
453 Replies
41K Views
Nguvu moja!!! Habari zenu Wana-JamiiForums na Wanasimba wanaoumia na timu hii, Imefika hatua sasa hapa Simba SC lazima tuambiane ukweli mchungu hata kama unauma. Kuna usaliti mkubwa wa kiufundi...
4 Reactions
26 Replies
299 Views
Jamaa wamekuwa wachovu katika kusajili Tunaanza msimu juma mosi ila kwa kikosi hiki, duuh #GlazersOut
3 Reactions
15 Replies
204 Views
Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini. Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
2 Reactions
16 Replies
278 Views
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kupitia Mwenyekiti wao Nasra Mohamed Ramadhani umeitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumfuatilia kwa umakini Makamu Mwenyekiti...
2 Reactions
16 Replies
351 Views
Nasikia Doumbia kawaka huko mazoezini anatupia kama goal machine aisee. Kuna watu wataaibika, hili linaenda kuwa goat la CAF. ASANTE MO NA MAGORI KWA USAJILI USIO NA MIHEMKO.
1 Reactions
12 Replies
288 Views
Siku ya utambulisho ilipofika saa 7 mchana uwanja ulikuwa umejaa, watu nje wanasukuma mageti wanataka kuingia ndani! Wengine wakabaki nje hadi barabarani. Tiketi za vishina ambazo tulikuwa...
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
151 Views
Timu ya wanaume ya Israel imetwaa medali ya dhahabu katika marathon ya timu kwenye Mashindano ya Riadha ya Ulaya 2026 yanayoendelea Birmingham, England, baada ya kuwazidi wapinzani wake wa karibu...
1 Reactions
2 Replies
66 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…