Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,735
- 10,227
Nadhani tunamhitaji Dennis Nkane wakuu. Kwakuwa pesa ziko Benki na hakuna mtandao, tunaomba GSM amlipe Nkane bilioni 8 ili aje msimbazi kwa msimu 1.
Pesa ziko bankFei Toto ni Mnyama aka X-Factor
😝
🤣🤣Fei Toto ni Mnyama aka X-Factor
😝
Pesa za X factor zinapatina kwa kuuza jezi.Pesa ziko bank
ZimetuliaPesa za X factor zinapatina kwa kuuza jezi.
Hii timu imejaa matapeli sana.
Sasa uko benki pesa zinafanya nini?