Vikosi viwili vya YANGA

Vikosi viwili vya YANGA

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,472
Reaction score
8,131
HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani ilifika wakati kwenye benchi unamuona Damaro na Depu pekee ambao wanaweza kuingia na kubadili kitu...✍️

Msimu huu tuna vikosi viwili vizito sana na hapo bado kuna wachezaji wengine 14 wapo nje kabisa mfano Toure, Sureboy, Mwijage, Casemiro, Mihambo, Mohamed Mussa, Mahsen nk.

1000124148.jpeg
 
Kwenye hicho kikosi cha kwanza watoe Kibwana Shomary, Juma Abushiri na Damaro Camara; halafu wajumuishe Aziz Kii, Yao Kwasi na Mudathir/au kiungo mwingine maestro.
 
HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani ilifika wakati kwenye benchi unamuona Damaro na Depu pekee ambao wanaweza kuingia na kubadili kitu...✍️

Msimu huu tuna vikosi viwili vizito sana na hapo bado kuna wachezaji wengine 14 wapo nje kabisa mfano Toure, Sureboy, Mwijage, Casemiro, Mihambo, Mohamed Mussa, Mahsen nk.

View attachment 3652635
Utopolo.
Walijaribu kwenye ile show yao.
Kikawalamba.
 
HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani ilifika wakati kwenye benchi unamuona Damaro na Depu pekee ambao wanaweza kuingia na kubadili kitu...✍️

Msimu huu tuna vikosi viwili vizito sana na hapo bado kuna wachezaji wengine 14 wapo nje kabisa mfano Toure, Sureboy, Mwijage, Casemiro, Mihambo, Mohamed Mussa, Mahsen nk.

View attachment 3652635
Cha ajabu CAF CHAMPIONS LEAGUE inaishia group stage
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom