Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba mmeroga, huo ndio ukweli. Manina zenu!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna mechi inaendelea na hii ni dakika ya 4 Brazil na United Arabic Emirates, Sijui wanagombea nini maana inarushwa na TV M*Msumbiji Hivyo lugha inayotumika ni kireno, machache huwa naelewa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndio, kama garasa tambwe akiifunga yanga kesho nipewe ban. kila goli moja la tambwe atalofunga, kwangu ni ban ya wiki moja, kama garasa tambwe atafunga goli mbili, nipewe ban ya wiki mbili...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya kuahidi atachoma nyumba yake akitoka bila goli, Mrisho Ngasa amesalimisha nyumba yake kwa kupachika goli kama alivyoahidi!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hayo ni matokeo ya awali mpka usiku wa leo yanasomeka hivyo zimebaki dk 2 kupata matokeo kamili magoli ya yanga yatafungwa 1.mrisho ngasaa dk ya 8 2.hamis kiiza dk ya 42 3.dk ya 67 na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Simba na Yanga zinakutana kesho katika pambano la watani wa jadi la msimu wa 50 wa ligi ya hadhi ya juu zaidi ya Bara, huku mazingira ya kisoka ndani ya timu hizo mbili yakiwapa mabingwa watetezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa inaendelea kufanya vizuri, timu ngrni kwenye ligi ya tanzania mbeya city leo inawakalibisha jkt ruvu kwenye uwanja wake wake wa nyumbani wa sokoine mbeya,. Karibu wote wapenda kandanda
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Hawa jamaa kama kawaida yao kwnye mechi kubwa wakishaona kuna dalili ya watu wengi wanabania tiketi za kima cha chini. Hapa nilipo karibia kila kituo ninachoenda kukata tiketi ya elfu tano nakuta...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Familia ya TFF inakutaarifu Bwana/Bib/Prof/Dr/Mh/Mr./Mrs.......... tarehe 20-10-2013 majira ya saa 16:00 jioni maeneo ya Viwanja vya TAIFA kutakuwa na harusi ya Binti yao mpendwa YANGA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni wachambuzi gani wazuri wa soka ulaya?? na website zao?? nitashukuru sana kwa msaada
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepokea rufaa na shilingi milioni moja ya Shaffih Dauda na kumuondoa kwenye orodha ya wagombea wa uchaguzi wa Shirikisho hilo utakaofanyika Oktoba 27. Taarifa ya leo ya...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
A commercial sex worker in Naivasha escaped death by a whisker and is nursing serious injuries after her colleagues unleashed terror on her for undercutting them by charging ridiculously low...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
S S C Napoli vs AS Roma. Nani ataibuka mshindi? Mzizi wa fitna ni saa 4 usiku huu. Kwangu Napoli watashinda 2-1.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NIONAVYO MIMI KWA FRANCIS CHEKA NA SOKA LA BONGO. Bondia wetu CHEKA hivi karibuni alitangaza nia yake ya kujiendeleza kielimu.Ataanza na pre-form na baadae mpaka chuo kikuu,binafsi namtakia kila...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bruno Metsu, Coach Who Took Senegal on World Cup Run, Dies at 59 Ali Haider/European Pressphoto Agency Bruno Metsu shown in 2008 when he was the coach of the United Arab Emirates team...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mashabiki wa Simba wakishangilia katika moja ya michezo ya timu yao katika Llgi Kuu msimu huu. === Dar es Salaam. Huku zikiwa zimesalia saa chache, rekodi za miaka 13 iliyopita, zinaonyesha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilisikia siku moja mtu mmoja redioni akidai kauli ya Rais mstahafu ya Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu ndiyo inayosababisha timu haifanyi vizuri hadi leo, na kumtaka rais huyo afute kauli...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kocha julio aka jose mourinho amesema kwamba mbeya city na mbwembe zote itashuka daraja kwani haoni yenyewe kuwa timu zaidi ya kubahatisha na amedai raundi ya pili lazima akachukue pt 3 mbeya...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana 15/10/2013 palichezwa mechi ya kirafiki kati ya Brasil na Zambia na mechi kuisha kwa Brasil kuishinda Zambia 2-0. Mechi hiyo niliiona live mida ya saa 10 hapa kwetu lakini kilichonishangaza...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ronaldinho anastahili kuwepo kwenye orodha hii: Top Tenner: Faded stars by Nick Miller - ESPN FC
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…