TFF wameficha tiketi za buku tano

TFF wameficha tiketi za buku tano

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,176
Reaction score
1,474
Hawa jamaa kama kawaida yao kwnye mechi kubwa wakishaona kuna dalili ya watu wengi wanabania tiketi za kima cha chini. Hapa nilipo karibia kila kituo ninachoenda kukata tiketi ya elfu tano nakuta zimeisha wakat zimeanza kukatwa sa3 leo.. Kuanzia kariakoo,ubungo,steerz posta n.k pote tiketi za elfu tano zimeisha wakati tiketi hizi huchukua theluthi 1 ya watazamaj pale uwanjan. Nahisi tff wana ubia na walanguzi.
 
tulia mkuu utazipata tu,wanataka za juu ziishe kwanza ndio waanze kuuza hizo za kugombaniana,mm mwenyewe nitawahi kesho asubuhi palepale uwanjani,nina imani nitazikuta tu za buku 5
 
tulia mkuu utazipata tu,wanataka za juu ziishe kwanza ndio waanze kuuza hizo za kugombaniana,mm mwenyewe nitawahi kesho asubuhi palepale uwanjani,nina imani nitazikuta tu za buku 5

ngoja 2subiri mkuu, ila jamaa navowajua wataziuza kwa bei za juu bado.
 
Leo ndio wameua bend kabisa sijui ndo mechi ya mwisho kwa watawala?
 
hapa mm nafanya kazi ya kuchungulia taifa kama wameamua kuanza kuziuza au bado, mana nina ela za watu kama 6 hz wanataka za buku tano.
wadau wanadai wamewah kufka tangia gar ya tiket inafika, lakin ajabu wakaambiwa zmeisha! sijui zimeisha wapi!
kesho zinalanguliwa za elfu 5 kwa elfu 10!
 
Hivi hawa Ti-efef wataacha lini uchakachuaji wa ticket!?
 
Mkuu hiyo hali niliishuhudia ktk Mechi ya Tanzania v Ivory Cost. Nilienda pale Steerz Posta nikaambiwa tiketi za 5000 zimeisha, kwa bahati nzuri nilichelewa. Ilipofika kama mida saa 11 lile gali linalouza tiketi likaondoka na mimi nikaamua kurudi zangu nyumbani, ghafla kuna jamaa akaniita nami nikaenda mpaka pale akaniuliza 'unataka tiketi'? Nikwambia ndio, akasema ya bei gani, nikamjibu ya 5000, akasema lete 7000 nikuuzie, hapo nikazama mfukoni na kumpa pesa, akanipa tiketi yangu nami nikarudi nyumbani. Yule jamaa alikuwa na tiketi zisipopungua 400 za 5000, sa sijui zingine alikuwa nazo za kiasi gani. Kwa kifupi, Maaskari na wauzaji wanajua mchezo unavyofanyika na wao ndo wanatumiwa zaidi.
 
Mkuu nipe namba yko kesho asubuhi ntakulete kwa bku saba pale uwanjani...
 
Hawa jamaa kama kawaida yao kwnye mechi kubwa wakishaona kuna dalili ya watu wengi wanabania tiketi za kima cha chini. Hapa nilipo karibia kila kituo ninachoenda kukata tiketi ya elfu tano nakuta zimeisha wakat zimeanza kukatwa sa3 leo.. Kuanzia kariakoo,ubungo,steerz posta n.k pote tiketi za elfu tano zimeisha wakati tiketi hizi huchukua theluthi 1 ya watazamaj pale uwanjan. Nahisi tff wana ubia na walanguzi.

Mkuu kwani umezalimishwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom