ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Ndio, kama garasa tambwe akiifunga yanga kesho nipewe ban.
kila goli moja la tambwe atalofunga, kwangu ni ban ya wiki moja, kama garasa tambwe atafunga goli mbili, nipewe ban ya wiki mbili.
NB; magoli yake ya kupewa ya penalt hayahusiki!
mods mmenielewa.