"live brazil na u.a.e"

"live brazil na u.a.e"

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Wakuu kuna mechi inaendelea na hii ni dakika ya 4 Brazil na United Arabic Emirates,
Sijui wanagombea nini maana inarushwa na TV M*Msumbiji Hivyo lugha inayotumika
ni kireno, machache huwa naelewa lakini mengi ni chenga bado hawajafungana.

Dah maneno mengine kama kiingereza vileee, kama hii DIRECTO nimegundua ndio LIVE.
 
Aaah, kumbe ni Under 17 worldcup. Dah mtanisamehe matangazo yamekatika kidogo
kwa mbali naona kama wanaomba radhi na wameweka muziki sasa.
 
Matangazo yamerudi dakika ni ya 11 Brazil wanaongoza goli 1
 
E bwanaeee kuna dogo ana vitu kama vile vya GAUCHO. huyu atatisha sana baadae.
 
Hii under 17 ya Brazili ikikutana na Timu yetu ya Taifa tunaweza pigwa hata 10.
 
Bado kidogo nitaweza Kireno
 
Aksante kwa taarifa. Ni mpira mzuri japo kireno kidogo shida. Ila cha muhimu ni soccer tu!
 
Mpira una kasi ya ajabu, Dah hawa watoto hawajagushi mika kweli?
 
Aksante kwa taarifa. Ni mpira mzuri japo kireno kidogo shida. Ila cha muhimu ni soccer tu!

Wacha nitazame kimyakimya haya mashindano ya watoto watu hawayapendi
lakini ni dakika ya 33 boschilia anaandika bao la pili baada ya lile la kwanza
ambalo alilifunga dakika ya 9
 
Dakika ya 41 Nathan wa Brazil anaandika goli la 3 nahisi yatakuwa kama
yale ya Yanga na simba maana Brazili wana njano na bluu na hawa
Emirates wana nyeupe na ufito mwekundu kwa mbali,
 
Mapumziko sasa Brazil wanaongoza 3 duh!
 
Back
Top Bottom