Serie A leo usiku: Roma vs Napoli

Serie A leo usiku: Roma vs Napoli

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,447
Reaction score
17,928
S S C Napoli vs AS Roma. Nani ataibuka mshindi? Mzizi wa fitna ni saa 4 usiku huu. Kwangu Napoli watashinda 2-1.
 
Mechi ni saa 3:45 angalia usije kosa uhondo kwa robo saa.
 
Wakuu natazama mechi ya hii kupitia RAI.sasa ni half time na wanaonyesha highlight za Italy vs Armenia.Buffon amefika tamati.Juve watafute gollie mwingine ila Insigne na Florenzi wana bright future.Ballotelli is simply the best!clinical finisher!ni aina ya washambuliaji ambao Italy imewakosa kwa miaka mingi tangu kizazi cha akina Inzaghi kipite.
 
dakika 75 ROMA 2 NAPOLITAN 0 majanga kwa Benitez ahhh
 
Mechi hiyo ilikuwa noma kwa kasi na ufundi kwangu mie Napoli walipiga mpira sana ila kumalizia walishindwa kuuweka nyavuni. Roma walitumia nafasi chache walizopata vizuri sana maana yule mpiga mipira wao iliyokufa (PJANIC) ni noma. Kwangu man of the Match ni DANIELE DE ROSSI.
 
Back
Top Bottom