ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kocha julio aka jose mourinho amesema kwamba mbeya city na mbwembe zote itashuka daraja kwani haoni yenyewe kuwa timu zaidi ya kubahatisha na amedai raundi ya pili lazima akachukue pt 3 mbeya city. Pia julio amemuita minziro mp--------vu baada ya kocha mkuu huyo wa yanga kulewa na wachezaji wake na wanashirikiana pia kulala na wanawake.