Maulid Kitenge wa Radio One; Hii ni ajali au!!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Jana 15/10/2013 palichezwa mechi ya kirafiki kati ya Brasil na Zambia na mechi kuisha kwa Brasil kuishinda Zambia 2-0. Mechi hiyo niliiona live mida ya saa 10 hapa kwetu lakini kilichonishangaza wakati nasikiliza kipindi cha michezo cha Radio One cha saa moja na nusu jana hiyohiyo mtangajazi Maulid Kitenge akatueleza kuwa mechi hiyo imechezwa 'jana usiku' yaani juzi kwa leo. nilisituka mno kwani alisisitiza kuiona mechi hiyo yeye mwenyewe, jamani waandishi wetu wa habari hasa za michezo ambao wengi wanajiona ni wataalam sana wawe makini kwenye taaluma yao ya kiuandishi. Vinginevo ni MAJANGA.
 
Msamehe bure, Maulid Kitenge ni mmoja wa Wadau wakubwa na Makini wa Michezo hapa Nchini,nadhani alipitiwa tu!!
 
umeshasema ni ajali ya mfupa hauna ulimi, unajua kitenge ameshsjijua anajua kuliko watz wote
 
Jana 15/10/2013 palichezwa mechi ya kirafiki kati ya Brasil na Zambia na mechi kuisha kwa Brasil kuishinda Zambia 2-0. Mechi hiyo niliiona live mida ya saa 10 hapa kwetu lakini kilichonishangaza wakati nasikiliza kipindi cha michezo cha Radio One cha saa moja na nusu jana hiyohiyo mtangajazi Maulid Kitenge akatueleza kuwa mechi hiyo imechezwa 'jana usiku' yaani juzi kwa leo. nilisituka mno kwani alisisitiza kuiona mechi hiyo yeye mwenyewe, jamani waandishi wetu wa habari hasa za michezo ambao wengi wanajiona ni wataalam sana wawe makini kwenye taaluma yao ya kiuandishi. Vinginevo ni MAJANGA.

Kitenge yupo sahihi, saa kumi ya hapa kwetu ni usiku kule Brazil ilipochezwa hiyo mechi, wewe hukuelewa
 
umeshasema ni ajali ya mfupa hauna ulimi, unajua kitenge ameshsjijua anajua kuliko watz wote
Mkuu, kwa hili hayuko peke yake. Mfano mwingine ni wale 'wapiga porojo' pale Clouds FM Jeff na Shaffi.
 
Kitenge yupo sahihi, saa kumi ya hapa kwetu ni usiku kule Brazil ilipochezwa hiyo mechi, wewe hukuelewa

Mechi haikuchezwa Brazil......ilichezwa CHINA

Zambia on Tuesday went down 2 – 0 to Brazil in a game the former African Champions ... China with kickoff at 13:45 CAT (Zambian time) Caretaker coach Patrice ... It's Bola Panshi v Samba style as Patrice names Zambia XI.
 
Kitenge yupo sahihi, saa kumi ya hapa kwetu ni usiku kule Brazil ilipochezwa hiyo mechi, wewe hukuelewa
Sina hakika kwani mechi imeisha saa kumi hivi na yeye akawa studio saa moja unusu siku hiyohiyo hapa Tz!!!!!!
 
Kitenge yupo sahihi, saa kumi ya hapa kwetu ni usiku kule Brazil ilipochezwa hiyo mechi, wewe hukuelewa

Na sisi tuliokua tunaangalia Tanzania ilikua ni usiku.?

Mkuu kubali Maulidi aliteleza.!
 
usinikumbushe ya mtibwa 3 na yanga bila eti wamefunga kwa taaaabu....
 
Back
Top Bottom