Andy Gray na Gary Lineker.Hivi ni wachambuzi gani wazuri wa soka ulaya?? na website zao?? nitashukuru sana kwa msaada
Wachambuzi bora wa mpira kwa Ulaya ni Jonathan Wilson,huyu ni zaidi ya mwandishi, mpaka makocha wanamheshimu. Uzuri wa Jonathan ni kuwa anaandika mpira wa klia bara sio Uingereza tu.Anaandikia mitandao mingi sana lakini makala zake kali zipo kwenye Guardian, my best British paper. Pia kuna Mike Cox, huyu ni bingwa wa kuchambua takwimu. Pia kuna Gary Neville na Jamie Carrager ambao wanaandikia Daily Mail. Gary Neville ni moto wa kuotea mbali kwenye uchambuzi lakini yeye anachambua mpira wa Uingereza tu.Hivi ni wachambuzi gani wazuri wa soka ulaya?? na website zao?? nitashukuru sana kwa msaada