Mrisho Ngasa hachomi tena nyumba.

Mrisho Ngasa hachomi tena nyumba.

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Baada ya kuahidi atachoma nyumba yake akitoka bila goli, Mrisho Ngasa amesalimisha nyumba yake kwa kupachika goli kama alivyoahidi!
 
hahaha Ngasa anawafahamu vizuri Simba ndo maana akatoa ahadi kama hiyo
 
Ona yanga yacheza leo.......
Hao simba wakanyaga moto....
 
nafahamu ch kwanza kafunga Ngasa,cha pili na cha tatu je?msaada jamani
 
Back
Top Bottom