Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi...
17 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake! 2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amesema Klabu ya Yanga inapaswa kusimamia msimamo wake wa kutocheza mechi ya watani wa jadi dhidi ya Simba, iliyopangwa kufanyika Juni 15, 2025. Akizungumza...
3 Reactions
12 Replies
992 Views
Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby. CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji. Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Inashangaza sana, TFF na Bodi ya Ligi wameamua na wamedhamiria hadharani kuonyesha ubabe na ukandamizaji wa wazi dhidi ya Yanga. Una ahirisha mchezo kinyume na taratibu tarehe rasmi ya mchezo...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka...
17 Reactions
243 Replies
12K Views
Mara baada ya UEFA kubadili uchezaji wa mashindano na kuongeza idadi ya timu toka timu (32) mpaka timu (36).Mabadiliko haya yamefungua mlango kwa baadhi ya nchi kupata nafasi za ziada...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ukisikia malalamiko ya mashabiki wa hii timu eti inaonewa sana,unajikuta unacheka kwa dhihaka sana. Tanzania hii hii eti bingwa wa kihistoria anayekwama kimataifa analia kisa tu Simba amevunja...
2 Reactions
5 Replies
390 Views
Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo. Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine. Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Wazee wana michezo habari zenu. Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi...
0 Reactions
4 Replies
477 Views
TFF na taasisi zake zimeshindwa kusimamia maslahi ya football Tanzania Viongozi wa TFF wamejawa na mahaba na ushabiki Kwa Simba 1. Bodi ya ligi moihairisha mechi mkasema Kuna uvunjifu wa kanuni...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025. Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu? Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand...
1 Reactions
2 Replies
304 Views
Back
Top Bottom