world football
Member
- Nov 24, 2024
- 25
- 35
- Mara baada ya UEFA kubadili uchezaji wa mashindano na kuongeza idadi ya timu toka timu (32) mpaka timu (36).Mabadiliko haya yamefungua mlango kwa baadhi ya nchi kupata nafasi za ziada kutegemeana na jinsi vilabu vyao vilivyo fanya vizuri kwenye mashindano ya ulaya msimu uliopita. Kwa msimu huu England umekuwa moja ya nchi ambazo vilabu vyake vimefanya vizuri na hivyo imepewa nafasi ya ziada.Toka timu nne mpaka timu tano. KAMA UNITED /SPURS KASHINDA EUROPA. *Kwa mujibu wa Sheria za UEFA idadi ya juu kabisa ya timu kutoka nchi Moja ni tano. Sasa iwapo united au spurs ata chukua ubingwa wa Europa league na kwa kuwa hazipo ndani ya tano Bora ya Epl zitachukua moja ya nafasi za timu tano za juu.Hii ina maanisha timu itakayo maliza nafasi ya tano inaweza kukosa kushiriki ligi ya mabingwa