Viongozi wa Yanga wanamihemko

Viongozi wa Yanga wanamihemko

Auto-Marvelt

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
2,608
Reaction score
5,487
Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.

CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.

Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.

Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?

Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
 
Yanga wapo sahihi bora wasicheze mechi ili kukomesha ujinga wa kuvuruga mechi kwa kutoa taarifa saa sita mchana mechi ya jioni na hakuna tatizo lolote la usalama au kitu muhimu kinachoweza kufanya mechi isichezwe watu wanatoka mbali kwa ajili ya mechi TFF wanafanya wanavyotaka siku ingine hawatatangaza hayo mambo yao iwe kwa Simba au Yanga.
 
Hersi amekuja kuiua Yanga halafu anaenda zake Kongwa kugombea ubunge.
 
Bora tushushwe daraja au tukose ubingwa ila uongozi wa tff utoke au uamue kuwa fair kwenye uongozi wao ,kinachoendelea na marefa wao ni bora timu nyingine zisicheze waipe ubingwa timu wanayoitaka wao ,
 
Yanga wapo sahihi bora wasicheze mechi ili kukomesha ujinga wa kuvuruga mechi kwa kutoa taarifa saa sita mchana mechi ya jioni na hakuna tatizo lolote la usalama au kitu muhimu kinachoweza kufanya mechi isichezwe watu wanatoka mbali kwa ajili ya mechi TFF wanafanya wanavyotaka siku ingine hawatatangaza hayo mambo yao iwe kwa Simba au Yanga.
Utakojoa misumari lakini mechi ipo pale pale, kenge wewe
 
Sasa kati ya Yanga na Bodi ya ligi nani anamihemko usemayo? Baada ya taarifa ya CAS kuwa Yanga warudishe shauri kwenye vyombo husika vya ndani kesho yake tuu Bodi ya Ligi ikatoa tamko kuwa wanapanga tarehe mpya ya match,je hilo lilikuwa sahihi?
 
Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.

CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.

Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.

Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?

Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
Tilia dawa iwaingie hata mimi naunga mkono uamuzi wa viongozi wangu kutocheza dabi acha tushuke daraja nyie endeleeni na ujinga wenu kupitia TFF ikiwezekana tuamie Zanzibar tucheze huko.
 
Kama walishindwa kuishusha Simba iliyo stahili kushushwa kwa kuogopa kutumia kanuni pia hawawezi kuishusha Yanga kwa kanuni izoizo.
Simba walikuwa na sababu hata kama haikuwa na mashiko,Yanga hawana sababu yoyote ni ukaidi tu ndiyo maana hawataachwa kipindi hiki.
 
Na Yanga hawana sababu na hawawezi kufanywa chochote.
Ngoja tuone Mkuu.

Ila ni either mechi ichezwe au YANGA agomee aadhibiwe!

Ligi haiwezi kuisha huku timu zingine hazijakamilisha round zote.
 
Back
Top Bottom