Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi. Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini...
48 Reactions
193 Replies
6K Views
Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Tumeona waamuzi wengi wamekuwa wakichotwa na propaganda za timu moja inayoishi kwa kudanganya mashabiki wao. Ninashauri ili kulisaidia soka la Tanzania,sheria zote za mchezo wa soka zifuatwe ili...
3 Reactions
6 Replies
552 Views
Ukiwa mjini utashangaa kuna kazi nyingi ili ziendelee zinategemea ujinga wa watu. Kwenye lile suala la klabu moja inayoendeshwa kwa propaganda na milungura ya kutosha kununua mechi kwa njia ya...
8 Reactions
6 Replies
732 Views
Muda huu nyanza derby baina ya gor mahia na shabana,inaendelea huko vietnam.Naingalia kupitia azm 2 hd
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Yani acha kabisa bro, Simba Sports Club sasa hivi ni kama Ghetto Empire in red flames – timu iko active, iko organized, iko serious, ni kama vile FBI ya soka la bongo. Ukitaka mafanikio ya kweli...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa inachunguza...
4 Reactions
127 Replies
4K Views
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya, Makosa haya ya...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
FT Simba 2-1 Azam Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed Dua...
2 Reactions
12 Replies
838 Views
Nakiri kuwa mimi sishabikii Simba, maoni nayotoa hapa sio ya kiushabiki bali ni uhalisia wa hali ilivyokuwa uwanjani 1.Pengo la Ahoua nadhani mmeliona. Zile faulo zilizokuwa zinapigwa pale nje ya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mambo ya kiwaki nyie jamaa hamfai kuongoza ligi yety,mambo ya UCCM mnayaleta kwenye ball.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa. Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch...
10 Reactions
228 Replies
9K Views
Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama...
4 Reactions
12 Replies
835 Views
Mtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake. Credit: Wasafi FM Hata Mimi ntaweka ahadi ya...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Application fee ya dola kadhaa imeenda Na rufaa imechanwachanwa. CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo...
19 Reactions
75 Replies
5K Views
FULL TIME: Tanzania 0 - Sierra Lione 1 Leo tena Group A mapambano yanaendelea kwa Tanzania wakikipiga na Sierra Lione na sasa ni Dakika ya 28. Hadi sasa msimamo wa Group A uko hivi:
3 Reactions
85 Replies
3K Views
Litakufa Jitu Leo... #nguvumoja# VIKOSI VYA LEO 1. SIMBA 2. MASHUJAA FC Updates... Dk 04' Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona. Inapigwa haileti madhara. Valentino.. DK 05'...
4 Reactions
519 Replies
26K Views
Back
Top Bottom